Frédéric Chopin (jina la Kipoland: Fryderyk ; 22 Februari1810 kulingana na cheti cha kuzaliwa - 17 Oktoba1849; pengine, tarehe 1 Machi au 10 Machi zimetajwa kama siku yake ya kuzaliwa) alikuwa mtunzi wa Opera na mpigaji kinanda mashuri kutoka nchini Poland. Ni mtunzi muhimu kabisa kwa nchi ya Poland. Ingawaje kuna baadhi ya tungo zake zilikuwa vigumu sana kuzipiga, na zilibahatika kuwa moja kati ya tungo zilizowahi kutungwa vema.
Alizaliwa katika kijiji kidogo cha Żelazowa Wola karibu na Warshawa wakati sehemu ile ilikuwa chini ya utawala wa Urusi. Baba alikuwa Nicolas Chopin Mfaransa aliyeishi Poland kama mwalimu na mamake Justyna Krzyżanowska aliyetoka katika familia ya makabaila maskini wa Poland. Frederic alianza mapema kupiga kiananda akaonyesha uwezo mkubwa. Alipofikia umri wa miaka 20 alisafiri Ufaransa alipotoa maonyesho ya muziki yake. 1830 baba alimshauri asirudi Poland kwa sababu ya uasi wa Wapoland dhidi ya utawala wa Kirusi. Baada ya kukandamizwa kwa uasi huu Frederic alibaki nje ya nchi yake ya kuzaliwa akaendelea kuishi na kufanya kazi mjini Paris hasa.
Ni hapa Paris ya kwamba alikuwa maarufu kama mtunga muziki. Alianzisha mapenzi na wanawake mbalimbali lakini hakubahatika kufunga ndoa. Afya yake ilikuwa hafifu muda wote akafa mjini Paris kwa sababu ya ugonjwa wa kifua kikuu mwaka 1849 akiwa na umri wa miaka 39 pekee. Alizikwa Ufaransa lakini moyo wake ulipelekwa Poland na kuzikwa huko katika kanisa mjini Warshawa.
Chopin MusicArchived 20 Aprili 2008 at the Wayback Machine. - Website and forum dedicated to the music of Chopin, including recordings, sheet music and image galleries.
Chopin: the poet of the piano - A favourite Chopin place since 1999 with biography, images, complete music and score, discussion forum, work list and analysis, quizzes and contests, noted interpreters/great pianists...
the original ChopinArchived 24 Desemba 2005 at the Wayback Machine. Chopin as played by Angela Lear from autograph manuscripts. "Hear what Chopin really intended" BBC Music Magazine; "...Her Chopin recitals were altogether exceptional for perfect interpretation and maximum faithfulness to Chopin's intentions " Le Matin.
Chopin2010 a/k/a "The Chopin Currency" - a daily compendium of Chopiniana: news, reviews, videos, blogs, and more leading up to the Chopin Bicentennial in 2010
Valldemossa, Majorca small town whose major asset is the remains of The Royal Chartreuse of Jesus Nazareth where Chopin lived for a short period with George Sand (the memories of this period are recorded in her book "Winter in Majorca") in 1838-39.
The safekeeping of a large collection of original Chopin manuscripts, including Concerto in F-minor among a total of 49 compositions and other priceless Polish art treasures in Canada during World War II, is documented by new research in 2004-2005 which was published in Chopin in the World.
Chopin and The Nightingale is a dramatic reading with music in six acts, written by Cecilia and Jens Jorgensen for narrator, two sopranos and piano. It enacts the true-life romance of Chopin and Jenny Lind, which happens to resemble "The Nightingale" story of Hans Christian Andersen. When Chopin dies of tuberculosis in the arms of Jenny Lind, she decides to devote the rest of her life to paying tribute to his music. "Good Morning!", says the emperor / composer the next day. Performed - to celebrate the new Europe and World TB Day - at Brussels (2003), Warsaw (2004), Toronto (2005) and New York State (2008).