Bendera ya Kenya

Bendera ya Kenya ilizinduliwa rasmi tarehe kumi na mbili Desemba, mwaka wa 1963.


Flag of Kenya
}}
UseNational Bendera and civil and state ensign National flag, civil and state ensign
Proportion2:3
DesignA white-fimbriated horizontal tricolour of black, red, and green charged with two crossed white spears behind a red, white, and black Maasai shield.
}}
Variant flag of Kenya
UseNaval ensign War ensign
DesignA white field with the national flag in the canton and a large red anchor in the fly.

Mfano

Bendera ya Kenya ina msingi katika bendera ya muungano wa kitaifa wa Kenya African. Rangi zinaashiria weusi wengi wenyeji , nyekundu ni damu iliyomwagwa wakati wa mapambano ya uhuru, na kijani kibichi ni mali asili; mikanda meupe yaliongezwa baadaye na yanasimamia amani. Ngao nyeusi, nyekundu, na nyeupe ya jadi ya Kimaasai na mikuki miwili yanaashiria ulinzi wa mambo yote yaliyotajwa hapo juu.

Buni

Rangi za bendera zimebuniwa na Hifadhi ya Taifa ya Kenya.

MfukoNyekunduKijani kibichi
Rangi Rasmi za UingerezaNyekundu ya Posta 0-0060-010
Chanzo: Bendera ya Kenya iliyoko Get Kenya Online. Imeangaliwa tmwezi wa 6 Agosti 2006.
Chanzo: Maelezo ya Bendera iliyoko Kumbuku za Taifa. Imeangaliwa 16 Februari 2006.


Karatasi ya Ujenzi

Historia

Bendera ya Kenya imejikita kwenye bendera nyeusi juu ya nyekundu juu ya kijani ya chama cha KANU, chama cha siasa kilichoongoza mapambano ya uhuru wa Kenya. Baada ya uhuru, mikanda meupe, inayoashiria amani na umoja, na ngao zikaongezwa.

Tazama pia

  • Orodha ya bendera za Kenya

Viungo vya nje

  • Kenya at Flags of the World