Ch
Kwa maana nyingine, tazama CH.
Alfabeti ya Kilatini (kwa matumizi ya Kiswahili) | ||||||
---|---|---|---|---|---|---|
Aa | Bb | Cc | ch | Dd | ||
Ee | Ff | Gg | Hh | Ii | Jj | |
Kk | Ll | Mm | Nn | Oo | Pp | |
Rr | Ss | Tt | Uu | Vv | ||
Ww | Xx | Yy | Zz |
Ch ni alama ya tatu katika alfabeti ya Kiswahili cha kisasa inayofuata menginevyo utaratibu wa alfabeti ya Kilatini.
Ch ni maungano ya herufi mbili za Kilatini ambazo hutazamiwa kama herufi moja katika mwandiko wa Kiswahili. Kilatini chenyewe hakijui umoja huu lakini ni kawaida pia katika lugha mbalimbali
kama sauti ya "tsh"
- Kihispania
- Kicheki
- Kislovakia
- Kibelarusi (Lacinka)
kama sauti ya (kh)
Kifupi cha CH kwa magari ni alama ya gari kutoka Uswisi (Confoederatio Helvetica)
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoWikipedia:JumuiyaJumuiya ya Afrika MasharikiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMikoa ya TanzaniaKigezo:All system messagesOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaDiamond PlatnumzKumaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoJulius NyerereSinagogiWilaya za TanzaniaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaTanzaniaJohn MagufuliUtawala wa Kijiji - TanzaniaKamusi za KiswahiliOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaWitoAmri KumiYoung Africans S.C.Samia Suluhu HassanTendo la ndoaOrodha ya Marais wa TanzaniaOrodha ya vitabu vya BibliaNembo ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniBendera ya TanzaniaSean CombsMwanamkeVita Kuu ya Pili ya DuniaAina za manenoOrodha ya Watakatifu WakristoMtaalaMwenge wa UhuruWahaya