Joseph Butiku
Joseph Waryoba Butiku (alizaliwa tar.) ni Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (inayojulikana pia kama Mwalimu Nyerere Foundation) na ni msaidizi wa utafiti binafsi na mjumbe binafsi Tanzania[1].
Chama | CCM |
Maisha
Joseph Butiku, kwa mujibu wa "A Biography of Julius Nyerere" p.66, ni miongoni mwa wanafunzi waliosoma pamoja na Rais wa kwanza na muasisi wa Tanzania Julius Kambarage Nyerere.
Joseph Butiku alihudhuria mafunzo ya kijeshi Monduli na alimaliza kama Luteni na hatimaye aliweza kufikia cheo kikubwa cha Meja.
Vilevile aliweza kuwa katibu mkuu wa faragha na Mkuu wa Wafanyakazi chini ya Rais Ali Hassan Mwinyi.
Alikuwa Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM kanda ya mkoa wa Mara na baadaye alikuwa Kamishna wa kikanda. [2]
Marejeo
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joseph Butiku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoWikichanzo:MwanzoYericko Y. NyerereUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMartha MwaipajaAina za manenoMikoa ya TanzaniaKumaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoTanzaniaShairiMaalum:MabadalikoyaKaribuniMtaalaOrodha ya Watakatifu WakristoYoung Africans S.C.Simba S.C.Kamusi za KiswahiliMohamed Yakub JanabiTamthiliaOrodha ya makabila ya TanzaniaDiamond PlatnumzFasihi simuliziOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUzazi wa mpango kwa njia asiliaUwanja wa Taifa (Tanzania)MbooMawasilianoKrismasiJanette DeaconOrodha ya vitabu vya BibliaDuniaKiswahiliLughaChama cha Demokrasia na MaendeleoTundu Antiphas Mughwai LissuFalsafaYasMayote