Kamusi ya Kiswahili sanifu
Kamusi ya Kiswahili Sanifu (kifupi KKS) ni kamusi iliyotungwa na wataalamu wa TUKI (leo: TATAKI) kwenye chuo kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania, mwaka 1981.
Kwa sasa imefikia toleo la tatu.
Kamusi hii inakusanya maneno ya Kiswahili sanifu na kuyaeleza kwa lugha ya Kiswahili yenyewe.Inaongoza kwa kiswahili sanifu
Marejeo
- Kamusi ya Kiswahili sanifu. Dar es Salaam, Tanzania: Oxford University Press. 1981.
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz