Nestroy Kizito

Mwanasoka wa Uganda

Joseph Nestroy Kizito (amezaliwa 27 Julai 1982 Uganda) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka nchini Uganda, ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya FK Vojvodona nchini Serbia tangu Januari mwaka 2005. Yeye pia ndio kapteni wa Timu ya Taifa ya Uganda.

Nestroy Kizito
Nestroy Kizito
Maelezo binafsi
Jina kamiliJoseph Nestroy Kizito
Tarehe ya kuzaliwa27 Julai 1982 (1982-07-27) (umri 42)
Mahala pa kuzaliwa   Uganda
Urefumita 1.78
Nafasi anayochezeaMlinzi
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasaFK Crvena Zvezda
Namba2
Klabu za ukubwani
MiakaKlabu
2005FK Crvena Zvezda
Timu ya taifa
Uganda

* Magoli alioshinda

Kizito alifunga goli dhidi ya wa pinzani wao wa kuu FK Crevena Zvezda katika Ligi kuu ya Serbia katika msimu wa mwaka 2005/2006 mechi hiyo ilichezeka nyumbani kwao. Goli hilo lilivunja rekodi ya kukaa muda mrefu bila kuwafunga wapinzani wao wa jadi FK Crvena Zvezda zaidi ya miaka kumi.

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nestroy Kizito kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.