Orodha ya Watakatifu Wakristo
Hii Orodha ya Watakatifu Wakristo inataja kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu, yaani watu wanaoheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili.
Orodha hii inaonyesha pia kila mtakatifu huheshimiwa katika madhehebu gani.
Kanisa Katoliki linaheshimu watakatifu na wenye heri zaidi ya elfu kumi, kati yao Mapapa 78. Habari fupi za baadhi yao zinatunzwa katika kitabu rasmi kinachoitwa Martyrologium Romanum.
Katika Makanisa ya Kiorthodoksi na ya Waorthodoksi wa Mashariki idadi ni kubwa zaidi kwa vile hakuna kanuni za kutangaza watakatifu kama zile zinazofuatwa na Papa, ambaye amejiwekea mamlaka hiyo tangu Karne za Kati. Hapa wameorodheshwa wanaoheshimiwa walau na Kanisa moja wa kundi lake. Habari fupi za baadhi yao zinatunzwa katika kitabu kinachoitwa Synaxarion.
Waanglikana walimtangaza mtakatifu mmoja tu (Mfalme Charles I wa Uingereza), lakini wanawatambua watakatifu wengine waliotangazwa kuwa watakatifu, hasa kabla ya Matengenezo ya Kiprotestanti, kama wanavyofanya Walutheri na Wamethodisti. Madhehebu hayo na mengineyo yana marehemu wengine ambao bila kutangazwa rasmi wameingizwa katika kalenda ya watakatifu katika nchi moja au zaidi.
Orodha
A
B
C
Mtakatifu | Waanglikana | Waorthodoksi wa Mashariki | Waorthodoksi | Wakatoliki |
---|---|---|---|---|
Cesidio Giacomantonio | Ndiyo | |||
Chad wa Mercia | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Charles de Foucauld | Ndiyo | |||
Charbel Makhlouf | Ndiyo | |||
Charles I wa Uingereza | Ndiyo | |||
Charles Cho Shinchol | Ndiyo | Ndiyo | ||
Charles Garnier | Ndiyo | |||
Charles Hyon Songmun | Ndiyo | Ndiyo | ||
Chi Zhuze | Ndiyo | |||
Cuthbert Mayne | Ndiyo | |||
Cuthbert wa Lindisfarne | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
D
E
F
G
H
Mtakatifu | Waanglikana | Waorthodoksi wa Mashariki | Waorthodoksi | Wakatoliki |
---|---|---|---|---|
Habetdeus wa Teudali | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Habib Girgis | Ndiyo | |||
Habibu wa Edesa | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Halvard | Ndiyo | |||
Han wa Kashkar | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hedwig wa Andechs | Ndiyo | |||
Heimo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Heladi | Ndiyo | Ndiyo | ||
Helaniki na Begei | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Helena (mama wa Konstantino Mkuu) | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Helena wa Uswidi | Ndiyo | Ndiyo | ||
Helier | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Heliodori na Venusti | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hemerioni | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hemeteri | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Heming | Ndiyo | Ndiyo | ||
Henri II | Ndiyo | Ndiyo | ||
Henri Morse | Ndiyo | |||
Henri Walpole | Ndiyo | |||
Henri wa Ufini | Ndiyo | Ndiyo | ||
Heraklemon | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Herakli na Zosimo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Herenas | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Heribert wa Cologne | Ndiyo | |||
Herma wa Roma | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Herman wa Alaska | Ndiyo | |||
Hermani Yosefu | Ndiyo | Ndiyo | ||
Herme wa Numidia | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hermes na Gayo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hermes wa Vidin | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hero | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Heroni, Arseni na wenzao | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hervei | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Hesiki wa Gaza | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hidulfi | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Hieronide, Leonsi na wenzao | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Higinius (Papa) | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Hilari I | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Hilari na Tasyani | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hilari wa Arles | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hilari wa Carcassonne | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Hilari wa Mende | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Hilari wa Poitiers | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hilari wa Toulouse | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hilaria, Donata na wenzao | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hilarini, Akuta na wenzao | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hilarion bin Saturninus | Ndiyo | Ndiyo | ||
Hilarioni Kijana | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Hilarioni Mpya | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Hilarioni wa Gaza | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hilda wa Whitby | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Hildegard wa Bingen | Ndiyo | Ndiyo | ||
Hildemarka | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Hinus | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hipeas | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hipoliti wa Afrika | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hipus | Ndiyo | Ndiyo | ||
Honorata wa Abitina | Ndiyo | Ndiyo | ||
Honorati, Dominiko na wenzao | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Honorati wa Amiens | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Honorati wa Arles | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Honorati wa Buzancais | Ndiyo | |||
Honorati wa Milano | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Honorati wa Subiaco | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Honorati wa Vercelli | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Honori, Akuto na wenzao | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Honori wa Canterbury | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Honorina wa Rouen | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hor, Susia na wanao | Ndiyo | |||
Hormisda (Papa) | Ndiyo | Ndiyo | ||
Horpresi | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hortulani wa Afrika Kaskazini | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Horus | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hubati wa Liege | Ndiyo | Ndiyo | ||
Hugal na wenzake | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Hugo wa Cluny | Ndiyo | |||
Hugo wa Lincoln | Ndiyo | Ndiyo | ||
Hugolino mfiadini | Ndiyo | |||
Hunfridi | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
I
J
K
L
M
N
O
P
Q
Mtakatifu | Waanglikana | Waorthodoksi wa Mashariki | Waorthodoksi | Wakatoliki |
---|---|---|---|---|
Quintus wa Abitina | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Quodvultdeus | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
R
S
T
U
Mtakatifu | Waanglikana | Waorthodoksi wa Mashariki | Waorthodoksi | Wakatoliki |
---|---|---|---|---|
Ubaldeska | Ndiyo | |||
Ubaldo wa Gubbio | Ndiyo | |||
Ugo wa Grenoble | Ndiyo | Ndiyo | ||
Ugo wa Rouen | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Ulpiani wa Turo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Ulrich wa Augsburg | Ndiyo | Ndiyo | ||
Umile wa Bisignano | Ndiyo | |||
Urbani I | Ndiyo | Ndiyo | ||
Urbani, Prilidani na Epoloni | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Urbani, Theodori na wenzao | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Urbani wa Jerba | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Urbano wa Teano | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Urbisi | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Ursichini wa Iliriko | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Ursino wa Bourges | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Ursmari | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | |
Urso wa Thebe | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
Ursula na wenzake | Ndiyo | Ndiyo | ||
Ursula Ledochowska | Ndiyo | |||
Ustazhad na wenzake | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo |
V
W
Y
Z
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
- Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1989
- M. SOSELEJE, Kalendari yetu – Maisha ya Watakatifu – Toleo la pili – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1986 – ISBN 9976-63-112-X
Viungo vya nje
- Orodha ya Watakatifu Wakatoliki
- Faharasa ya Watakatifu Wakatoliki Archived 25 Juni 2007 at the Wayback Machine.
- Waliotangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu Archived 4 Agosti 2004 at the Wayback Machine.
- Dibaji ya Ohrid Mkusanyiko wa hadithi kuhusu Watakatifu Waorthodoksi Archived 24 Machi 2010 at the Wayback Machine.
- Habari kuhusu Watakatifu Waorthodoksi katika tovuti ya Kanisa la Kiorthodoksi la Marekani
- Watakatifu Wakopti
- Kalenda ya Kanisa Anglikana la Uingereza Archived 9 Aprili 2010 at the Wayback Machine.