Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneo

nasrymayombogm


Hii ni orodha ya tawala za mikoa ya Tanzania katika mpangilio wa: *jumla ya eneo,

  • eneo la nchi kavu, na
  • eneo la maji.

Taarifa hii inalingana na uanzishwaji wa mikoa mipya minne mnamo Machi 2012, ambao umefikisha jumla ya idadi ya mikoa kuwa 31. Baada ya hapo ulianzishwa Mkoa wa Songwe wenye eneo la [[km2]] 26,595 kutokana na mkoa wa Mbeya.

Mikoa ya Tanzania - Jumla ya eneo

Tanzania Bara (Tanganyika)
(Bofya kwenye pembetatu ndogo kupanga jedwali kwa a-b-c au namba)

NafasiMkoaKilomita za mraba
1Dodoma41,311
2Arusha34,516
3Kilimanjaro13,209
4Tanga27,348
5Morogoro73,139
6Pwani32,407
7Dar es Salaam1,393
8Lindi67,000
9Mtwara16,707
10Ruvuma66,477
11Iringa58,936
12Mbeya62,420
13Singida49,437
14Tabora76,151
15Rukwa75,240
16Kigoma45,066
17Shinyanga50,781
18Kagera39,627
19Mwanza35,187
20Mara31,150
21Manyara47,913
22Njombe21,347
23Katavi45,843
24Simiyu25,212
25Geita19,592
26Songwe26,595

Tanzania Visiwani (Zanzibar)

NafasiMkoaKilomita za mraba
27Unguja Kaskazini470
28Unguja Kusini854
29Unguja Mjini Magharibi230
30Pemba Kaskazini574
31Pemba Kusini332

Eneo la nchi kavu

NafasiMkoaKilomita za mrabaMaili za mraba
1Tabora76,15129,402
2Morogoro70,79927,336
3Rukwa68,63526,500
4Lindi67,00025,869
5Ruvuma63,49824,517
6Mbeya60,35023,301
7Iringa56,86421,955
8Shinyanga50,78119,607
9Singida49,34219,051
10Manyara46,35917,899
11Dodoma41,31115,950
12Kigoma37,03714,300
13Arusha33,80913,054
14Pwani32,40712,512
15Kagera28,38810,961
16Tanga27,34810,351
17Mwanza20,0957,759
18Mara19,5667,554
19Mtwara16,7076,451
20Kilimanjaro13,2095,100
21Dar es Salaam1,393538
22Mkoa wa Unguja Kusini854330
23Mkoa wa Pemba Kaskazini574222
24Mkoa wa Unguja Kaskazini470181
25Mkoa wa Pemba Kusini332128
26Unguja Mjini Magharibi23089

Eneo la maji

Angalizo: Taarifa zinazopatikana ni za mikoa kumi na mbili tu. Mikoa mingine iliyobakia haina maziwa yenye maana au umuhimu au vyanzo vya maji.

NafasiMkoaKilomita za mrabaMaili za mrabaAsilimia
ya Maji
1Mwanza15,0925,82742.9
2Kagera11,2394,33928.4
3Mara10,5844,08734.0
4Kigoma8,0293,10017.8
5Rukwa6,6052,5508.8
6Ruvuma2,9791,1504.5
7Morogoro2,3409033.2
8Iringa2,0728003.5
9Mbeya2,0707993.3
10Manyara1,5546003.2
11Arusha7072732.1
12Singida95370.2

Vyanzo

Taarifa kwa ajili ya mikoa ya Tanzania bara zinatolewa na Utoaji wa Takwimu 2011, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania Archived 5 Novemba 2013 at the Wayback Machine.. Taarifa kwa ajili ya mikoa ya Tanzania visiwani, yaani, Unguja na Pemba hutolewa na Regions of Tanzania, Statoids.

Kwa takwimu za kisasa angalia 17 Population Distribution and Average Annual Intercensal Growth Rate by Region, Tanzania, Tanzania in Figures, tovuti ya Tanzania National Bureau of Statistics

Tanbihi