Orodha ya nchi za Afrika

Orodha ya nchi huru na maeneo barani Afrika inafuata kanda za Afrika jinsi zilivyopangwa na Umoja wa Mataifa. Majina ya nchi hutajwa pamoja na maeneo yanayotawaliwa na nchi nje ya Afrika au ambayo yamekuwa sehemu kamili ya nchi nje ya Afrika.

Afrika duniani.
Afrika kutoka angani.
Kanda za Afrika:      Afrika Kaskazini      Afrika Magharibi      Afrika ya Kati      Afrika Mashariki      Kusini mwa Afrika (Mpangilio wa Kanda za nchi za Umoja wa Mataifa

Mpangilio wa nchi kwa kanda za kaskazini, magharibi, mashariki, kati na kusini hufuata mfumo wa Kanda za nchi za Umoja wa Mataifa.

Jina la nchi au eneo,
bendera
Eneo
(km²)
Wakazi
(mnamo Julai 2015)
Wakazi kwa km²Mji Mkuu
Burundi
27,8309,824,000401.7Bujumbura
Komoro
2,170783,000363.1Moroni
Jibuti
23,000961,00038.6Jibuti
Eritrea
121,3206,895,00043.1Asmara
Ethiopia
1,127,12790,076,00088.2Addis Ababa
Kenya
582,65044,234,00079.0Nairobi
Madagaska
587,04023,043,00041.3Antananarivo
Malawi
118,48016,307,000145.3Lilongwe
Mauritius
2,0401,263,000624.0Port Louis
Mayotte (Ufaransa)
374229,000641.7Mamoudzou
Msumbiji
801,59025,728,00034.9Maputo
Réunion (Ufaransa)
2,512853,000342.8Saint-Denis
Rwanda
26,33811,324,000440.8Kigali
Shelisheli
45597,000211.0Victoria
Somalia
637,65710,972,00016.9Mogadishu
Sudan Kusini
619,74512,340,00019.2Juba
Tanzania
945,08748,829,00056.6Dodoma
Uganda
236,04035,760,000165.4Kampala
Zambia
752,61415,474,00021.5Lusaka
Zimbabwe
390,58013,503,00039.9Harare
Jina la nchi au eneo,
bendera
Eneo
(km²)
Wakazi
(mnamo Julai 2015)
Wakazi kwa km²Mji Mkuu
Angola
1,246,70025,326,00020.1Luanda
Kamerun
475,44021,918,00049.1Yaoundé
Jamhuri ya Afrika ya Kati
622,9844,900,0007.9Bangui
Chadi
1,284,00013,675,00010.9N'Djamena
Kongo, Jamhuri ya
342,0004,706,00013.5Brazzaville
Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia
2,345,41077,267,00032.9Kinshasa
Guinea ya Ikweta
28,0511,996,00030.1Malabo
Gabon
267,6671,873,0006.4Libreville
São Tomé na Príncipe
1,001194,000189.8São Tomé
Jina la nchi au eneo,
bendera
Eneo
(km²)
Wakazi
(mnamo Julai 2015)
Wakazi kwa km²Mji Mkuu
Algeria
2,381,74039,903,00016.7Algiers
Misri (2)
1,001,45088,523,00091.4Cairo
Libya
1,759,5406,278,0003.6Tripoli
Moroko
446,55033,680,00077.0Rabat
Sudan
1,861,48430,894,00021.6Khartoum
Tunisia
163,61011,118,00068.8Tunis
Maeneo ya Hispania na Ureno katika Afrika ya Kaskazini:
Visiwa vya Kanari(Hispania) (3)7,4921,694,477226.2Las Palmas de Gran Canaria,
Santa Cruz de Tenerife
Ceuta (Hispania) (4)
2071,5053,575.2
Visiwa vya Madeira (Ureno)(5)
797245,000307.4Funchal
Melilla (Hispania) (6)
1266,4115,534.2
Jina la nchi au eneo,
bendera
Eneo
(km²)
Wakazi
(mnamo Julai 2015)
Wakazi kwa km²Mji Mkuu
Botswana
600,3702,176,0003.8Gaborone
Eswatini
17,3631,119,00074.1Mbabane
Lesotho
30,3551,908,00070.3Maseru
Namibia
825,4182,281,0003.0Windhoek
Afrika Kusini (7)
1,219,91254,957,00044.7Bloemfontein, Cape Town, Pretoria
Jina la nchi au eneo,
bendera
Eneo
(km²)
Wakazi
(mnamo Julai 2015)
Wakazi kwa km²Mji Mkuu
Benin
112,62010,782,00096.6Porto-Novo
Burkina Faso
274,20018,450,00066.0Ouagadougou
Cabo Verde
4,033525,000129.2Praia
Côte d'Ivoire (8)
322,46023,326,00070.4Abidjan, Yamoussoukro
Gambia
11,3002,022,000176.2Banjul
Ghana
239,46027,714,000114.5Accra
Guinea
245,85710,935,00051.3Conakry
Guinea-Bissau
36,1201,788,00051.1Bissau
Liberia
111,3704,046,00040.4Monrovia
Mali
1,240,00017,796,00014.2Bamako
Mauritania
1,030,7003,632,0003.9Nouakchott
Niger
1,267,00018,880,00015.7Niamey
Nigeria
923,768184,000,000197.2Abuja
Saint Helena (Uingereza)
4104,00019.6Jamestown
Senegal
196,19014,150,00077.1Dakar
Sierra Leone
71,7406,513,00089.9Freetown
Togo
56,7857,065,000128.6Lomé
Sahara ya Magharibi (Moroko) (9)
266,000509,0002.2El Aaiún
Jumla30,368,6091,153,308,000
Ramani ya Afrika.
Mipaka ya nchi za Afrika.

Maelezo

  1. Kanda zinazotajwa (Afrika ya Kusini – Magharibi n.k.) zinafuata utaratibu wa Umoja wa Mataifa UN categorisations/map.
  2. Misri imo Afrika lakini sehemu ya eneo lake iko Asia ya Magharibi. Wengine huiita nchi ya kimabara.
  3. Visiwa vya Kanari ni sehemu ya Hispania ikiwa Las Palmas de Gran Canaria pamoja na Santa Cruz de Tenerife ndiyo miji mikuu pamoja mara nyingi huhesabiwa kuwa sehemu ya Afrika ya Kaskazini; viko karibu na Moroko and Sahara ya Magharibi; wakazi na eneo vya 2001.
  4. Mji wa Ceuta ni eneo la Hispania ufukoni wa Bahari ya Mediteraneo ikizungukwa na nchi ya Moroko; wakazi na eneo ni ya 2001.
  5. Visiwa vya Madeira ni sehemu ya Ureno, mara nyingi huhesabiwa kuwa sehemu ya Afrika ya Kaskazini viko karibu na Moroko; wakazi na eneo vya 2001.
  6. Mji wa Melilla ni eneo la Hispania ufukoni wa Bahari ya Mediteraneo ikizungukwa na nchi ya Moroko; wakazi na eneo ni ya 2001.
  7. Bloemfontein ndiyo makao ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini, Cape Town ni makao ya Bunge, Pretoria ni makao makuu ya serikali.
  8. Yamoussoukro ndiyo rasmi Mji Mkuu wa Côte d'Ivoire lakini Abidjan ni makao ya serikali hali halisi.
  9. Sahara ya Magharibi imetekwa na kutawaliwa kwa sehemu kubwa na Moroko hali isiyokubalika na jumuiya ya kimataifa