P

Alfabeti ya Kilatini
(kwa matumizi ya Kiswahili)
AaBbCcchDd
EeFfGgHhIiJj
KkLlMmNnOoPp
QqRrSsTtUuVv
WwXxYyZz

P ni herufi ya 16 katika katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa. Asili yake ni Pi ya alfabeti ya Kigiriki.

Maana za P

Historia ya alama P

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu P kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.