Bahari ya Mashariki ya China

Bahari ya Mashariki ya China (ing. East China Sea) ni bahari ya pembeni iliyopo kando ya mashariki mwa nchi ya China, pamoja na Bahari ya Njanona Bahari ya Kusini ya China.[1] [2]

Ramani ya Bahari ya Mashariki ya China, inaonyesha kanda iliyoizunguka, visiwa na nchi.

Bahari hiyo ni sehemu ya Bahari Pasifiki na ina eneo la kilomita za mraba zipatazo 1,249,000. Nchini China, bahari hii inaitwa Bahari ya Mashariki.

Nchini Korea Kusini, bahari hii kuna kipindi huitwa Bahari ya Kusini, lakini hii mara nyingi hutumiwa kutajia eneo la karibu na pwani ya kusini mwa nchi ya Korea Kusini.

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Mashariki ya China kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.