Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Tanzania

Makala hii inaonyesha orodha ya mawaziri wakuu wa Tanzania.

Tanzania

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Tanzania



Zanzibar

Nchi zingine · Atlasi

Orodha ya Viongozi wa Serikali ya Tanzania

Waziri Kiongozi wa Tanganyika
JinaAmechukua OfisiAmeondoka OfisiniChama
Julius Kambarage Nyerere2 Septemba 19601 Mei 1961TANU
Mawaziri Wakuu wa Tanganyika
Julius Kambarage Nyerere1 Mei 196122 Januari 1962TANU
Rashidi Kawawa22 Januari 19629 Desemba 1962TANU
Nafasi Zilizoondolewa Tangu (9 Desemba 1962-17 Februari 1972)
Mawaziri Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rashidi Kawawa17 Februari 197213 Februari 1977TANU
Edward Moringe Sokoine13 Februari 19777 Novemba 1980CCM
Cleopa David Msuya7 Novemba 198024 Februari 1983CCM
Edward Moringe Sokoine24 Februari 198312 Aprili 1984CCM
Salim Ahmed Salim24 Aprili 19845 Novemba 1985CCM
Joseph Sinde Warioba5 Novemba 19859 Novemba 1990CCM
John Malecela9 Novemba 19907 Desemba 1994CCM
Cleopa David Msuya7 Desemba 199428 Novemba 1995CCM
Frederick Sumaye28 Novemba 199530 Desemba 2005CCM
Edward Ngoyai Lowassa30 Desemba 20057 Februari 2008CCM
Mizengo Pinda9 Februari 200820 Novemba 2015CCM
Kassim Majaliwa Majaliwa19 Novemba 2015Mpaka sasaCCM

Ushirika wa Kisiasa

Viungo vya nje

Tazama pia