Kisawe
Kisawe ni neno lenye maana ileile ya neno lingine; kwa mfano jogoo kisawe chake ni kikwara, bamia kisawe chake ni binda na mengineyo, kama vile nyanya-bibi, tembo-ndovu, mtu–mja-adinasi-mahuluki-insi-binadamu, rafiki–msena-mwandani-bui, ugonjwa-maradhi.
Katika sentensi kisawe kimoja kinaweza kubadilishwa na kisawe kingine bila kubadilisha maana ya sentensi.
Hayo maneno yaliyo na maana sawa au yanayokaribiana sana kimaana yanaonyesha utajiri wa lugha fulani na huwezesha kuremba sentensi, mazungumzo na maandishi viwe vya uzuri wa kifasihi.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisawe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaFaili:Celliphine Chespol Tampere 2018.jpgFaili:20090815 Meselech Melkamu.jpgMwanzoTendo la ndoaJoseph ButikuUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaWikipedia:JumuiaKamusi za KiswahiliTanzaniaTakwimuHaki za watotoOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaOrodha ya nchi za AfrikaAina za manenoFasihi simuliziMikoa ya TanzaniaVivumishiKisaweDiamond PlatnumzUandishi wa ripotiMajadiliano ya mtumiaji:Mr Accountable/Archived Agosti 2010ShairiUtamaduniUkimwiKigezo:All system messagesUgonjwa wa moyoJumuiya ya Afrika MasharikiKiswahiliNahauUsafi wa mazingiraOrodha ya makabila ya TanzaniaSitiariLughaShinikizo la juu la damuBarua pepeSentensiOrodha ya Watakatifu Wakristo