Chris Pratt

Chris Pratt (alizaliwa 21 Juni 1979[1]) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani.

Chris Pratt

Chris, mnamo 2018
AmezaliwaChristopher Michael Pratt
21 Juni 1979 (1979-06-21) (umri 44)
Virginia, Minnesota, Marekani
Kazi yakeMwigizaji
Miaka ya kazi2000-hadi leo
NdoaAnna Faris (2009-2018)
Katherine Schwarzenegger (2019-hadi leo)
Watoto3

Marejeo

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chris Pratt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.