Constantius Chlorus
Flavius Valerius Constantius (31 Machi 250 – 25 Julai 306) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Magharibi kuanzia mwezi Mei 305 hadi kifo chake.
Aliitwa Chlorus kwa ajili ya rangi ya uso wake kuwa nyeupe. Alimfuata Maximian. Alikuwa baba wa Konstantino Mkuu.
Tazama pia
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Constantius Chlorus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz