Disc jockey

Disc jockey (kifupi "DJ") ni mtu anayeunganisha miziki kadhaa ikicheza, mara nyingi kwenye hadhira walio kwenye klabu au mtandao au kwenye matangazo.


"Ma DJ" pia utengeneza kandamseto zinazouzwa baadaye. Kwenye Hip hop "ma dj" hutengeneza midundo kwa kutumia piano, gitaa na "beats".

Mifano ya Ma-DJ

Khaled ni DJ
Kutoka kushoto ni: Ice Cube, Dr. Dre Eazy-E, DJ Yella na "MC Ren"

Tanbihi

Viungo vya nje