Gümüşhane

Gümüşhane ni jina la kutaja mji mkuu wa Jimbo la Gümüşhane katika maeneo ya Bahari Nyeusi huko nchnii Uturuki. Mji umelaliana na Ziwa Harşit, kwenye mapolomoko yenye takriban futi 5,000 (1,500 m). Takriban maili 40 kutoka kusini-magharibi mwa mji wa Trabzon.

Gümüşhane
Gümşhane, Uturuki.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 46,656 ambao wengine 30,270 wanaishi katikati ya mji wa Gümüşhane.[1][2] Mji una eneo la kilomita za mraba zipatazo 1789,[3] na mapolomoko 1227 m.

Jina

Jina linamaana ya "jumba la fedha" kwa Kituruki na linatokana na migodi ya fedha iliyokaribu nayo. Wakati wa zama za Byzantine eneo waliokuwa wakilimiliki lilikuwa likiitwa Chaldia. Baada ya Ufufuko wa Wagiriki mnamo miaka ya 1850, mji ulikuwa ukiitwa Argyròpolis kwa Kigiriki (mji wa fedha), kwa mali zilizopo mjini hapo.

Jiografia

Watu mashuhuri

  • Mahmut Oltan Sungurlu, Waziri wa Sheria na Ulinzi wa Uturuki.

Vyanzo

Marejeo

Viungo vya Nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gümüşhane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.