Indiana Pacers

Timu ya mpira wa kikapu kutoka Indianapolis, Indiana

Indiana Pacers ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Indianapolis, Indiana. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Victor Oladipo.

Nyumba ya Bankers mwaka 2012

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Indiana Pacers kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.