Kibassa
Kibassa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Wabassa. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibassa nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 403,000. Pia kuna wasemaji 5730 nchini Sierra Leone. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibassa iko katika kundi la Kikru.
Viungo vya nje
- lugha ya Kibassa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibassa
- lugha ya Kibassa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bsq
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibassa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz