Kipodozi
Kipodozi (kutoka kitenzi "kupodoa"; kwa Kiingereza: "cosmetics") ni kifaa chochote cha kukwatua ngozi ili kuongeza uzuri wa mtu, hasa mwanamke.
Mifano ya vipodozi ni: poda, wanja, losheni, marashi n.k.
Baadhi yake vimechanganikana na sumu au kemikali zenye madhara, hivyo vinakatazwa na sheria. Katika nchi za Marekani, kuna sheria ambazo zimekataza kuuza kwa vipodozi ambavyo huenda zikaathiri ngozi ya mtumiaji. Sheria hizi ni kama Federal Food, Drug and Cosmetic Act na Fair Packaging and Labelling Act.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipodozi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz