Kiqabiao
Kiqabiao ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam inayozungumzwa na Waqabiao. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiqabiao imehesabiwa kuwa watu 690 nchini Vietnam. Pia kuna wasemaji kumi na wanane nchini Uchina. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiqabiao iko katika kundi la Kikra.
Viungo vya nje
- lugha ya Kiqabiao kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiqabiao
- lugha ya Kiqabiao katika Glottolog
- lugha ya Kiqabiao kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiqabiao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz