Uwanja wa Ndege wa Dong Hoi

Kiwanja cha Ndege cha Dong Hoi ni kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Dong Hoi nchini Vietnam.

Dong Hoi Airport
Sân bay Đồng Hới
Cảng hàng không Đồng Hới
IATA: VDHICAO: none
Muhtasari
AinaPublic
MmilikiNorthern Airports Corporation
OparetaNorthern Airports Authority
MahaliDong Hoi
Anwani ya kijiografia17°30′54″N 106°35′26″E / 17.51500°N 106.59056°E / 17.51500; 106.59056
Njia ya kutua na kuruka ndege
MwelekeoUrefuAina ya
barabara
ftm
11/297,8742,400Concrete
Kiwanja cha Ndege cha Dong Hoi

Jina kamili kwa Kivietnam ni Sân bay Đồng Hới au kwa Kiingereza Cảng hàng không Đồng Hới.

Inahudumiwa na Vietnam Airlines. Ilianzishwa kama kiwanja cha ndege cha kijeshi wakati wa ukoloni wa Ufaransa. Tangu 2007 ilipanushwa hasa kwa ajili ya mipango ya utalii katika sehemu hii ya Vietnam.

Kiwanja cha ndege kipo kilomita 6 kusini ya Dong Hoi na safari kwa treni kutoka mjini ni dakika 1A..[1][2]

Marejeo

Viungo vya nje