Kujizungusha
Kujizungusha ni tendo la gimba kuenda mwendo wa kufanya duara kwenye mhimili wake mwenyewe.[1] Mwendo wa kufanya duara kwenye mhimili ulioko nje ya kiolwa huitwa mzunguko.
Mhimili wa kujizungusha
Mhimili wa kujizungusha ni mstari mnyoofu wa kudhaniwa ambako gimba linajizungusha. Katika mfano wa gurudumu mhimili wa kujizungusha ni sawa na ekseli.
Kwa magimba ya angani kama Dunia mhimili wa kujizungusha ni mstari wa kudhaniwa unaopita kwenye ncha mbili za kaskazini na kusini ukipita kitovu cha masi yake.
Marejeo
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kujizungusha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz