Mahenge Mjini

(Elekezwa kutoka Mahenge)


Mahenge Mjini ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Ulanga katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67601.

Mahenge Mjini
Mahenge Mjini is located in Tanzania
Mahenge Mjini
Mahenge Mjini

Mahali pa Mahenge katika Tanzania

Majiranukta: 8°40′56″S 36°43′0″E / 8.68222°S 36.71667°E / -8.68222; 36.71667
NchiTanzania
MkoaMorogoro
WilayaUlanga
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 9,523

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 8,625 [1].Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,288. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,523 [2] walioishi humo.

Historia

Mji wa Mahenge ulianzishwa wakati wa ukoloni wa Kijerumani ukawa kituo cha kikosi cha 12 cha jeshi la Schutztruppe na makao makuu ya mkoa wa Mahenge wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani, baadaye pia wa Tanganyika katika miaka ya kwanza ya utawala wa Uingereza.

Marejeo

Kata za Wilaya ya Ulanga - Mkoa wa Morogoro - Tanzania

Chilombola | Euga | Ilonga | Iragua | Isongo | Ketaketa | Kichangani | Lukande | Lupiro | Mahenge Mjini | Mawasiliano | Mbuga | Milola | Minepa | Msogezi | Mwaya | Nawenge | Ruaha | Sali | Uponera | Vigoi


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mahenge Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.