Max Theiler
Daktari wa virusi na daktari wa Afrika Kusini-Amerika
'
Max Theiler | |
---|---|
Max Theiler | |
Amezaliwa | 30 Januari 1899 |
Amefariki | 11 Agosti 1972 |
Kazi yake | mwanabiolojia kutoka nchi ya Afrika Kusini |
Max Theiler (30 Januari 1899 – 11 Agosti 1972) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Afrika Kusini. Baadaye alihamia na kupata uraia wa Marekani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo maradhi mbalimbali. Pia aligundua dawa ya chanjo dhidi ya homa ya manjano. Mwaka wa 1951 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Max Theiler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz