Mkoa wa La Coruña








La Coruña au (Kigalicia) A Coruña ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,145,488. Mji wake mkuu ni La Coruña.

Mkoa wa La Coruña
Mahali pa Mkoa wa La Coruña katika Hispania
Mahali pa Mkoa wa La Coruña katika Hispania
Mahali pa Mkoa wa La Coruña katika Hispania

Nembo
NchiBendera ya Hispania Hispania
EneoGalicia
Mji mkuuLa Coruña
Eneo
 - Jumla7,950 km²
Tovuti:  http://www.dicoruna.es/

Tazama pia

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa La Coruña kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.