Mkoa wa Los Ríos

Los Ríos (Kihispania: XIV Región de Los Ríos) ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Chile. Mji mkuu wake ni Valdivia.

Mbuga ya Alerce Costero, Los Ríos
Mahali pa Los Ríos katika Chile na mji mkuu

Wilaya za Los Ríos

  • Wilaya ya Valdivia
  • Wilaya ya Ranco

Tazama pia

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Chile bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Los Ríos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.