Mkoa wa Maule

Maule (Kihispania: VII Región de Maule) ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Chile. Mji mkuu wake ni Talca.

Maule, Chile
Mahali pa Maule katika Chile na mji mkuu

Wilaya za Maule

  • Wilaya ya Talca
  • Wilaya ya Cauquenes
  • Wilaya ya Curicó
  • Wilaya ya Linares

Tazama pia

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Chile bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Maule kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.