Mtunzi
Mtunzi (kutoka kitenzi "kutunga"; kwa Kiingereza: composer, kutoka Kilatini compōnō, yaani "naweka pamoja") ni hasa mwanamuziki ambaye amebuni wimbo au muziki wa aina yoyote. Mara nyingi mtunzi ni pia mwimbaji au mpiga ala bora.
Katika Kiswahili jina hilohilo linaweza pia kutumika kwa mtu aliyeandika kitabu au shairi, lakini pia msanii wa aina nyingine aliyebuni kitu kipya.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mtunzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz