Mtunzi wa nyimbo

Mtunzi wa nyimbo ni mtu anayebuni nyimbo. Mtunzi wa nyimbo kwa ujumla hutunga nyimbo za pop, kuliko nyimbo za kawaida au muziki wa classic. Watunzi waliowengi pia ni waimbaji, na wanazifanyia kazi nyimbo zao na kutunga pia. Kuna watunzi wengine nyimbo huimbwa na waimbaji wengine na sio wao wenyewe.

Historia

Watunzi mashughuli duniani

  • John Lennon na Paul McCartney, wanachama wa kundi la muziki la The Beatles
  • Brian Wilson na Mike Love, wanachama wa kundi la muziki la The Beach Boys
  • Paul Anka
  • Bob Dylan
  • Stephen Foster
  • Woody Guthrie
  • Johnny Mercer
  • Willie Nelson
  • Mickey Newbury
  • Harry Nilsson
  • Laura Nyro
  • Dolly Parton
  • Cole Porter
  • Prince
  • Teddy Randazzo
  • Jimmy Webb
  • Allee Willis
  • Watunzi wa nyimbo wa Brill Building:
    • Jeff Barry
    • Neil Diamond
    • Gerry Goffin
    • Carole King
    • Carole Bayer Sager
    • Neil Sedaka
    • Toni Stern
    • Toni Wine


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtunzi wa nyimbo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.