Rio Negro

ukarasa wa maana wa Wikimedia

Río Negro inamaanisha "Mto Mweusi" katika lugha za Kihispania na Kireno. Inaweza kutaja:

Mito

Brazil

  • Rio Negro (Amazonas), tawimto la Mto Amazonas
  • Rio Negro (Mato Grosso do Sul)
  • Rio Negro (Parana)
  • Rio Negro (Rio de Janeiro)
  • Rio Negro (Rondonia)
  • Rio Negro (Tocantins)

Amerika Kusini (nje ya Brazil)

  • Rio Negro (Argentina), huko Patagonia
  • Rio Negro (Los Lagos), kusini mwa Chile
  • Rio Negro (Uruguay), tawimto la Mto Uruguay
  • Rio Negro (Chaco) huko Argentina, tawimto la Mto Parana

Amerika ya Kati

Migawanyiko ya kisiasa

Amerika Kusini

  • Mkoa wa Río Negro, Argentina
  • Rio Negro, Parana, manispaa nchini Brazil
  • Rio Negro, Mato Grosso do Sul, manispaa ya Brazil
  • Rio Negro, Chile, mji katika Mkoa wa Osorno
  • Rionegro, mji na manispaa nchini Kolombia
  • Rionegro, Santander, mji na manispaa nchini Kolombia
  • Mkoa wa Rionegro, Kolombia
  • Wilaya ya Río Negro, Uruguay
  • Rio Negro, manispaa nchini Venezuela
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.