Wilaya ya Rufiji

(Elekezwa kutoka Rufiji)

Wilaya ya Rufiji ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani yenye postikodi namba 61600.

Mkoa wa Pwani kabla ya Wilaya ya Rufiji kugawiwa.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 92,602 [1], walioongezeka kuwa 217,274 wakati wa sensa ya mwaka 2012[2]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 159,906 [3].

Makao makuu ya wilaya yanapatikana Utete.

Marejeo

Kata za Wilaya ya Rufiji - Mkoa wa Pwani - Tanzania

Chemchem | Chumbi | Ikwiriri | Kipugira | Mbwara | Mgomba | Mkongo | Mohoro | Mwaseni | Ngarambe | Ngorongo | Umwe | Utete


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Rufiji kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.