Santa Monica, California
Santa Monica (kwa Kihispania "Mtakatifu Monika") ni mji wa Marekani katika jimbo la California.
Santa Monica | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | California |
Wilaya | Los Angeles |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 88,050 |
Tovuti: www.smgov.net |
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2006, mji una wakazi wapatao 88,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 32 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
- Ramani ya Santa Monica Archived 3 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
- City of Santa Monica
- Santa Monica Convention and Visitors Bureau
- Santa Monica Chamber of Commerce
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Santa Monica, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz