Shafiqa Ziaie

Mwalimu wa Afghanistan na waziri wa baraza la mawaziri

Shafiqa Ziaie (aliwa 1928)ni msomi wa Afghanistan na mjumbe wa baraza la mawazili[1]. Alikua ni miongoni mwa kizazi cha wanawake walio pata nyadhifa za umma huko Afghanistan baada ya mageuzi ya Mohammed Daoud Khan

Marejeo.