Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015

Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015 ulifanyika tarehe 25 Oktoba. Wapiga kura walimchagua Rais, wabunge na Madiwani.

Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015
Tanzania
2010 ←
25 Oktoba 2015 (2015-10-25)[1]
→ 2020

 
MgombeaJohn MagufuliEdward Lowassa
ChamaChama Cha MapinduziCHADEMA
Mgombea mwenzaSamia SuluhuJuma Duni Haji



Incumbent President

Jakaya Kikwete
CCM

Tarehe 29 Oktoba mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli alitangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mshindi wa kura ya rais, akifuatwa na Lowassa wa Chadema.[2]. Kadiri ya tume hiyo, Magufuli alipata kura 8,882,935, sawa na asilimia 58.46 na Lowassa alipata kura 6,072,848, sawa na asilimia 39.97. Hata hivyo wapinzani walikataa kukubali matokeo hayo na wasimamizi wa uchaguzi kutoka nje walilaumu sana baadhi ya taratibu na matukio.

Wagombea Urais

MgombeaMgombea MwenzaChama
Anna Elisha Mghwira[3]Hamad Mussa YussufAlliance for Change and Transparency (ACT)
Edward Lowassa[3]Juma Duni HajiChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Fahmi Nassoro Dovutwa[3]Hamadi Mohammed IbrahimuUnited People's Democratic Party (UPDP)
Hashim Rungwe Spunda[3]Issa Abas HusseinChama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
Janken Malik Kasambala[3]Simai Abdulrahman AbdullaNational Reconstruction Alliance (NRA)
John Magufuli[3]Samia SuluhuChama Cha Mapinduzi
Lutalosa Yembe[3]Said Miraj AbdallahAlliance for Democratic Change (ADC)
Machmillan Elifatio Lyimo[3]
?
Tanzania Labour Party (TLP)

Uchaguzi wa Bunge 2015

ChamaKura%Wabunge
wa majimbowa chamaJumla+/–
Chama Cha Mapinduzi8,021,42755.0418864252
Chama cha Demokrasia na Maendeleo4,627,92331.75343670
Civic United Front CUF1,257,7658.63321042
Alliance for Change and Transparency323,1122.22101
NCCR–Mageuzi218,2091.50101
Chama cha Ukombozi wa Umma23,0580.160000
Democratic Party14,4710.100000
United Democratic Party13,7570.09000–1
Tanzania Labour Party13,0980.09000–1
ADA–TADEA12,9790.090000
Alliance for Democratic Change12,4200.090000
Chama cha Haki na Ustawi8,2170.060000
Alliance for Tanzania Farmers Party7,4980.050000
United People's Democratic Party3,7720.030000
Jahazi Asilia3,3440.020000
Progressive Party of Tanzania – Maendeleo3,0370.020000
Chama Cha Kijamii2,3100.020000
National League for Democracy2,0820.010000
Union for Multiparty Democracy1,9750.010000
Sauti ya Umma1,8100.010000
National Reconstruction Alliance1,4670.010000
Demokrasia Makini1,2260.010000
Walioteuliwa na rais10
Kura zilizoharibika
Jumla14,574,957100256110366+17
Source: NEC, IPU

Marejeo