Uingereza Kaskazini-Magharibi


Uingereza Kaskazini-Magharibi (Kiing.: North West England) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Uingereza. Idadi ya wakazi wake ni takriban 6,853,200. Mji wake mkuu ni Manchester.

North West England
Mahali paNorth West England
Mahali paNorth West England
Mahali pa Uingereza Kaskazini-Magharibi katika Uingereza
NchiBendera ya Ufalme wa Muungano Ufalme wa Muungano
SehemuBendera ya Uingereza Uingereza
Mji mkuuManchester
Eneo
 - Jumla14,165 km²
Idadi ya wakazi (2006)
 - Wakazi kwa ujumla 6,853,200
Tovuti:  http://www.4nw.org.uk/

Tazama pia

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uingereza Kaskazini-Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Mikoa ya Uingereza
London Mkuu | Kaskazini-Magharibi | Kaskazini-Mashariki | Kusini-Magharibi | Kusini-Mashariki | Mashariki | Midlands Magharibi | Midlands Mashariki | Yorkshire na Humber