Uwanja wa michezo
Uwanja wa michezo (Kilat. + Kiing. stadium) ni mahali pa mashindano ya michezo. Mara nyingi umezungukwa na majengo ambayo yanaweza kufunguliwa juu na kuwezesha umma kutazama onyesho hilo kwa kutumia nafasi za kusimama au kukaa. Viwanja mara nyingi hutumiwa pia kwa matamasha na mikutano ya hadhara.
Historia
Viwanja vya michezo vilipatikana tayari katika miji mingi ya Ugiriki ya Kale ambako mashindano yalitekelezwa kwa heshima ya miungu. Mashuhuri hasa vilikuwa viwanja vya Olimpia na Delfi[1].
Katika Roma ya Kale viwanja vilitumiwa hasa kwa matamasha ya mapigano na uwindaji. Mfano mashuhuri ni Koloseo wa Roma. Jengo hili lilikuwa kielelezo wa viwanja vingi vya kisasa.
Marejeo
Viungo vya Nje
- "World Stadiums". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 April 2018. Iliwekwa mnamo 31 January 2017. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help); More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); Check date values in:|archivedate=, |accessdate=
(help) - "Stadium Guide".
- "Stadium Journey".
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz