Vivumishi vya idadi
Mifano |
---|
|
Vivumishi vya idadi (pia" Vivumishi vya kiasi) ni neno/maneno yanayotoa taarifa ya idadi ihusuyo nomino au kiwakilishi cha nomino. Idadi hiyo inaweza kuwa ya jumla au idadi kamili au halisi.
- Mifano
- Wanafunzi wawili wamelala darasani
- Wajumbe sita wamesimamishwa
- Nyoka wengi wana sumu kali
- Maembe machache yameiva
- Wananchi wengi wameandamana
Tazama pia
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya idadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz