Warner Bros.
Warner Bros. Entertainment, Inc. (pia inajulikana kama Warner Bros. Pictures, au rahisi zaidi Warner Bros. — kifupi cha jina rasmi la zamani ambalo bado hutumika Warner Brothers[1]) ni kampuni mojawapo kati ya watayarishaji wakubwa duniani wa filamu na burudani za televisheni.
Ni kundi kubwa la burudani, studio ya filamu na studio ya rekodi. Inamilikiwa na Time Warner.
Wanao hakimiliki ya mfululizo wa filamu wa Harry Potter, mfululizo wa filamu ya Batman, na mfululizo wa filamu ya Superman, DC Extended Universe.
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- WarnerBros official site
- Warner Bros. kwenye Internet Movie Database
- Warner Bros. Animated Productions at the Big Cartoon DataBase
Marejeo
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Warner Bros. kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz