Wasia
Wasia (pia: Wosia, Usia, kutoka Kiarabu; kwa Kiingereza: Testament) ni maelezo yanayotolewa na mtu ili yatekelezwe na watakaobaki baada ya kifo chake au kuondoka kwake mahali, hasa ugawaji wa mali alizoacha.
Vilevile yanaweza kuwa maadili mema kuhusu maisha na mwenendo mzuri ambao mtu anapewa na mwingine ambaye kwa kawaida anamzidi umri.
Tazama pia
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wasia kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz