West Coast hip hop
West Coast hip hop ni aina ya muziki wa hip hop ambao umewazunguka wasanii wowote au muziki wowote wa hip hop wenye chimbuko la kanda ya magharibi mwa nchi ya Marekani. Japokuwa utamaduni wa muziki wa hip hop ulipewa jina lake huko mjini New York City, lakini bado huaminika na baadhi ya watu kwamba utamaduni ulijianzisha wenyewe kwa pande zote mbili, yaani, East na West coasts, kwa mtiririko sawa.
Tazama pia
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu West Coast hip hop kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz