320 KK

Makala hii inahusu mwaka 320 KK (kabla ya Kristo).

Matukio

  • Babeli inaacha tena kuwa mji mkubwa kuliko yote duniani baada ya miaka 300 hivi ya kuwa na sifa hiyo.

Waliozaliwa

Waliofariki