Ammaar Ghadiyali
Ammaar Shabbir Ghadiyali (alizaliwa 30 Mei 1997) ni mwogeleaji wa nchini Tanzania. [1] Mnamo mwaka 2012 kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto alishiriki kwenye (100 mita freestyle) ya Wanaume akimaliza katika nafasi ya 55 kati ya waogeleaji 60 na kushindwa kufuzu kuingia nusu fainali.
Pia alishiriki katika shindano la 2013 World Aquatics Championships la kuogelea kwenye urefu wa mita 200. Mwaka 2014 aliwakilisha Tanzania kwenye michezo ya Olimpiki ya vijana iliyofanyika Nanjing nchini China. [2]
Marejeo
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ammaar Ghadiyali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz