30 Mei

tarehe
Apr - Mei - Jun
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Tarehe 30 Mei ni siku ya 150 ya mwaka (ya 151 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 215.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Gavino, Basili Mzee na Emelia wa Kaisarea, Anastasi wa Pavia, Dimpna, Hubati wa Liege, Ferdinando III, Yoana wa Arc, Luka Kirby, Matias Mulumba Kalemba, Yosefu Marello n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 30 Mei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.