Anthropolojia

Anthropolojia ni fani ya elimu inayochunguza pande zote binadamu kuanzia wale wa kale[1][2][3].

Lewis Henry Morgan
Bronisław Malinowski
Margaret Mead
Edward Sapir
Claude Lévi-Strauss

Matawi yake mbalimbali yanachunguza maisha ya jamii, utamaduni pamoja na taratibu na tunu, athari ya lugha, mabadiliko ya kimwili n.k.[1][2][3]

Kwa vyovyote, anthropolojia inahitaji ushirikiano wa sayansi mbalimbali, ikiwemo teolojia.

Akiolojia inaweza kutazamwa kama sehemu ya anthropolojia (k.mf. Marekani[4] ) au ya historia, lakini pia kama fani ya pekee (k.mf. Ulaya).

Jina

Jina linatokana na neno la Kiingereza anthropology lililotumika mara ya kwanza kwa Kilatini mwaka 1593 kuhusiana na historia.[5][[6][7] Asili yake ni maneno mawili ya Kigiriki, ἄνθρωπος, ánthrōpos "mtu") na λόγος, lógos, "neno, somo, elimu").[5]

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Kamusi elezo

Kumbukumbu

Historia

Vitabu vya kiada

Viungo vya nje

  • Haller, Dieter. "Interviews with German Anthropologists: Video Portal for the History of German Anthropology post 1945". Ruhr-Universität Bochum. Iliwekwa mnamo 22 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • "AAANet Home". American Anthropological Association. 2010. 
  • "Home". European Association of Social Anthropologists. 2015. 
  • Hagen, Ed (2015). "AAPA". American Association of Physical Anthropologists. 
  • "Home". Australian Anthropological Society. Iliwekwa mnamo 23 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • "AIBR, Revista de Antropología Iberoamericana" (kwa Spanish). Antropólogos Iberoamericanos en Red. Iliwekwa mnamo 24 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • "Home". Human Relations Area Files. Iliwekwa mnamo 24 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • "Home". National Association for the Practice of Anthropology. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-05. Iliwekwa mnamo 24 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • "About". Radical Anthropology Group. Iliwekwa mnamo 24 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • "Home". Royal Anthropological Institute. Iliwekwa mnamo 24 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • "Home". The Society for Applied Anthropology. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-08. Iliwekwa mnamo 24 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • "Anthropology". American Museum of Natural History. Iliwekwa mnamo 25 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • "Department of Anthropology". Smithsonian National Museum of Natural History. Iliwekwa mnamo 25 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • "AIO Home". Anthropological Index Online. Royal Anthropological Institute. Iliwekwa mnamo 25 March 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anthropolojia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.