Asia ya Mashariki
Asia ya Mashariki ni kanda la bara la Asia linalojumuisha takriban 15% za eneo la bara lote.
Nchi zifuatazo huhesabiwa kuwa sehemu za Asia ya Mashariki:
- China (pamoja na Hong Kong na Macau)
- Jamhuri ya China (Taiwan)
- Korea Kaskazini
- Korea Kusini
- Japani
- Mongolia
Kiutamaduni nchi hizi zote zimeathiriwa na China jinsi inavyonekana katika maandishi, falsafa ya Konfutse, Ubuddha wa Mahayana na mtindo wa kula kwa kutumia vijiti.
Tazama pia
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Asia ya Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoFasihi simuliziAina za manenoShairiVivumishiMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMofimuFasihiNembo ya TanzaniaMawasilianoSentensiMarie AntoinetteKamusiMange KimambiKumaViwakilishiAlama ya uakifishajiKitenziFani (fasihi)TamthiliaVitendawiliNominoKiswahiliMaudhuiSilabiTanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiKisaweVieleziYoung Africans S.C.Kiwakilishi nafsiDiamond Platnumz