Campobasso

Campobasso (maana yake Shamba la chini) ni makao makuu ya mkoa wa Molise, Italia.

Muonekano wa mji Campobasso


Campobasso
Majiranukta: 41°33′39″N 14°40′06″E / 41.56083°N 14.66833°E / 41.56083; 14.66833
NchiItalia
MkoaMolise
Wilaya
Tovuti:  www.comune.campobasso.it/

Mji huo una wakazi 49,431 (2016).

Tazama pia

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Campobasso kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.