Chura-filimbi

Chura-filimbi
Chura-filimbi wa Marimba (Arthroleptis xenochirus)
Chura-filimbi wa Marimba (Arthroleptis xenochirus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Animalia (Wanyama)
Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:Amphibia (Wanyama wanaoanza maisha kwenye maji na kuendelea nchi kavu)
Nusungeli:Lissamphibia (Amfibia waliopo bado)
Oda:Anura (Vyura)
Nusuoda:Neobatrachia
Familia:Arthroleptidae
Jenasi:Arthroleptis
Smith, 1849
Spishi:Angalia makala

Vyura-filimbi ni aina za vyura wa jenasi Arthroleptis katika familia Arthroleptidae ambao sauti yao ni kama filimbi. Vyura hawa ni wadogo sana: mm 15-55. Huishi katika takataka za majani ambapo hula wadudu wadogo kama sisimizi na mchwa.

Spishi za Afrika ya Mashariki

Spishi za pande nyingine za Afrika

Picha