Cotonou

Cotonou ni mji mkubwa wa Benin na kitovu chake cha kiuchumi. Rasmi si mji mkuu wa nchi ambao kisheria ni mji wa Porto Novo. Lakini hali halisi wizara nyinga zina ofisi zao hapa siyo Porto Novo.

Mahali pa Cotonou nchini Benin

Mji una wakazi zaidi ya milioni moja. Uko katika kusini ya nchi kati ya pwani la Atlantiki na ziwa Nokoue kwenye 6°22'N 2°26'E.

Mji una pia bandari kuu ya Benin. Coutounou iko katika Mkoa wa Littoral.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cotonou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.