DNA ya mitokondria

DNA ya mitokondria (pia ADN ya mitokondria, kutoka Kiingereza Mitochondrial DNA, kifupi mtDNA au mDNA)[1] ni urithi wa jeni ambao unapatikana katika mitokondria na ni sehemu ndogo ya urithi wote wa viumbe hai.

DNA ya mitokondria ya binadamu.

Upekee wake ni kwamba katika binadamu na viumbe vingine vingi unatolewa na mama tu kwa watoto wake wote[2].

Tazama pia

  • DNA
  • DNA ya mstari

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu DNA ya mitokondria kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.